Wapi nitapata soko la viazi vitamu?

Wapi nitapata soko la viazi vitamu?

Von Bismarck

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2018
Posts
4,728
Reaction score
11,285
Wana Jf natafuta soko la viazi vitamu hasa mikoa ya Mwanza, Dsm pengine hata Arusha.
Hii nikutokana na uzalishaji kuwa mkubwa maeneo ya wilaya ya Chato-Geita. Ambapo gunia moja ni linagharimu kiasi cha sh.6000 hadi 8000

Hivyobasi kwa yoyote mwenye taarifa kamili ni wapi nitapata soko tufahamishane.

Naomba kuwasilisha!!!!
 
Hongera sana kwa uzakishaji wa viazi. Kila la heri katika utafutaji wa soko
 
Badilisha tahamani kutoka viazi hadi kuwa MICHEMBE ama/au MATOBOLWA
 
mimi nahitaji sana viazi vichungu kama unavyo NI-PM nahitaji mzigo wa kutosha kwa gunia moja nanunua kwa 95,000 Tsh boss..
 
Kama ni vya njano au lishe, kausha visage kisha uza Unga wake, ukitumika kama chakula cha watoto, kukorogea uji na hata watu wazima inampatia vitamin na madini chuma Safi sana...
 
Kama ni vya njano au lishe, kausha visage kisha uza Unga wake, ukitumika kama chakula cha watoto, kukorogea uji na hata watu wazima inampatia vitamin na madini chuma Safi sana...
Du..hili nalo ni wazo jipya la kufanyia kazi
 
mimi nahitaji sana viazi vichungu kama unavyo NI-PM nahitaji mzigo wa kutosha kwa gunia moja nanunua kwa 95,000 Tsh boss..
Hvyo vinaweza kupatika kule mwezini tu.
Lkn sio kwa sayari hii
 
Dah Saga unga mkuu utakaa muda mrefu sana kuliko kuuza viazi kama viazi.
 
Back
Top Bottom