Mtanzanika
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,389
- 1,131
mkanda wa kuvalia jeans au suruali ya kitambaa chepesi au msuli?
AAAGHH..! hivi pale si paliungua au..??!nenda karume mtumbani
Heading inasema mkanda wa kuvaa KIUNONI.., sasa we unauliza nini..??!Kwani wamasai wanauza mikanda ya kwenye gari mkuu!
Dogo kila kitu kina wakati wake vuta subira....kadri umri unavyokwenda ndivyo pia mtu anazidi kujipenda...mimi huwa sioni shida kutoa laki 8 kununua saa ya mkononi.Mmh Mkuu Upo Juu Suluari 45000 Na Tshirt 45000 Hongera Sana. Hayo Maisha Bado Sijayafikia Ngoja Niendele Tu Kuvaa Kadeti Za Mtumba.