Wapi nitapata Mkanda Orijino wa kiunoni na kwa bei gani..?!

Wapi nitapata Mkanda Orijino wa kiunoni na kwa bei gani..?!

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
40,799
Reaction score
46,917
Wachina sijui wanatumia material gani kutengeneza hii mikanda hakyaanani..., ukiuangalia mya unavutia kweli..., tumia mwezi tuu uone unavyoparaganyika kama mwogo mkavu..., nimechoka. wapi nitapata kitu chenyewe kabisa cha kudumu na ni how much..??!
 
NEXT Oxford street London....GBP 15-35.
 
Ni kweli.
Na sio mikanda tu. hata nguo.
Mimi nilinunua TShirt na suruali kila moja 45,000.
Kuzifua mara moja tu zimefubaa kabisaa !
... huu urafiki wa ccm na wachina utatumaliza.
 
Upo mkoa gani? Kama upo dar njoo Makumbusho karibu na kituo kipya cha daladala kuna jamaa wanauza mikanda genuine leather.

Mimi nilinunua minne hapo mwaka 2011 mpaka sasa haina dalili ya kuharibika.

Bei inategemea na wewe unavyojua kuangea,ukionekana unazubaa utapigwa hata elfu hamsini na ukiwa mjanja hata buku 10 unapata.

attachment.php
 
Attachments

  • PhotoGrid_1403539465921.jpg
    PhotoGrid_1403539465921.jpg
    53.4 KB · Views: 762
Upo mkoa gani? Kama upo dar njoo Makumbusho karibu na kituo kipya cha daladala kuna jamaa wanauza mikanda genuine leather.

Mimi nilinunua minne hapo mwaka 2011 mpaka sasa haina dalili ya kuharibika.

Bei inategemea na wewe unavyojua kuangea,ukionekana unazubaa utapigwa hata elfu hamsini na ukiwa mjanja hata buku 10 unapata.
Daah..., shukrani sana...!
 
Nenda Brand House pale Posta mpya. Bei kuanzia 60000- 70000/- ila unadumu mpaka unasahau
 
Nenda mtumbani bro,,mi nna mkanda wa mtumba nnao toka niko 1st yr chuo mpk leo,,nlimaliza 2012,,pitia karume au manzese
 
Ni kweli.
Na sio mikanda tu. hata nguo.
Mimi nilinunua TShirt na suruali kila moja 45,000.
Kuzifua mara moja tu zimefubaa kabisaa !
... huu urafiki wa ccm na wachina utatumaliza.

Mmh Mkuu Upo Juu Suluari 45000 Na Tshirt 45000 Hongera Sana. Hayo Maisha Bado Sijayafikia Ngoja Niendele Tu Kuvaa Kadeti Za Mtumba.
 
Nenda Buguruni au Tandika kanunue Utapata mkanda wa jeshi kabisa utadumu nao mpaka kifo
 
nenda kariakoo ukifika urafiki kama unatokea jangwani kuna njia inapita kushoto wa kituo cha urafiki panapopaki teksi, nenda hadi ukute barabara uvuke then ulizia kwa chinga au kwa Muro penye banda la mbao wanapouza mitumba. hao jamaa wana vitu vizuri. mikanda, suti, makoti, kofia, viatu. ukipaona unaeza padharau ila ingia ujionee.. nilinunua hapo suti 2012 had leo ina hit.
 
Back
Top Bottom