Wapi nitapata majiko ya gas kama haya? Au wapi nitapata gas ya butane?

42774277

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
6,833
8,811
View attachment 1867571

Screenshot_2021-07-24-16-55-43-126_com.ebay.mobile.jpg

Lengo langu ni kupata hayo makopo madogo ya gas ya Butane.

Ila nmeulizia pia majiko sababu ninaamini nikipata sehemu wanayouza hayo majiko huenda wakawa wanauza pia hizo gas au wakawa wanawafahamu wanaouza hizo gas.

Japo nikipata mtu anayeuza hizo gasi za butane hayo makopo madogo itakuwa vizuri zaidi.

Pia nahitaji hii flame thrower torch

images%20(15).jpg

images%20(14).jpg

images%20(13).jpg

Natanguliza shukrani.

Nipo Dar es salaam
 
Kumbe wakorea huwaga wanatumia hizi vitu. Nilikua naumiza kichwa majiko yao walikuwa wanafanyanye na ni madogo
 
View attachment 1867571

View attachment 1867572

Lengo langu ni kupata hayo makopo madogo ya gas ya Butane.

Ila nmeulizia pia majiko sababu ninaamini nikipata sehemu wanayouza hayo majiko huenda wakawa wanauza pia hizo gas au wakawa wanawafahamu wanaouza hizo gas.

Japo nikipata mtu anayeuza hizo gasi za butane hayo makopo madogo itakuwa vizuri zaidi.

Pia nahitaji hii flame thrower torch

View attachment 1867579

View attachment 1867578

View attachment 1867577

Natanguliza shukrani.
Kuna sehemu bado yapo ila gass ikiisha kupata ya kikopo ni ishu siku hizi hawatengenezi tena
 
Weka na sababu kwa nini haya you

USSR
Kuna project nataka kuifanya. Kuna material mengine tayari nmeshaagiza China,

Nimebakiza kununua hizo butane na flamethrower torch,

Flamethrower torch nitaagiza Ebay nayo siku si nyingi lakini mpaka nipate uhakika wa kupata butane,

Mbadala wa Butane na flamethrower ni Heatgun ya watt 1800 mpaka watt 2000,

So fair siwezi kuweka kila hapa as nitakuwa nauza Ramani ya mradi wangu.
 
Haya ndio mnatumia kukata mageti ya watu usiku
Punguza kuhukumu....

Zipo Arusha nenda TFA upande wing A makabala na Benki!!
 
ilo la kwanza kabisa yapo 'bwelele' nayaona maduka ya mtaa wa Swahili na Aggrey kkoo
 
Back
Top Bottom