Wapi nitapata mabasi yanayoenda Mtwara kutokea Dsm?

Hapana,Ubungo Basi za Mtwara zipo za Saa 12,ila ni za Mtwara mjini tu,na Masasi na Songea. Za Wilayani lazima Temeke na Mbagala.
Ohhhh sawa mkuu.
Mie najuaga Ubungo hakuna hizo kumbe zipo.
Safi sana mdau.
Shukrani
 
Umemfafanulia vema sana. Ama kwa Mabasi ya Mtwara na Masasi,yapo yanayoanzia Ubungo Bus Terminal hasa Buti la Zungu,Maning Nice na Tashrif. Pia kuna Maning Nice linaanzia Morogoro asubuhi kwenda Mtwara kupitia Ubungo na Temeke Mwisho/ Sudan. Pia yapo Tashrif yanayotokea Tanga moja kwenda Mtwara na lingine Masasi,haya hupita Ubungo Terminal Saa 7 na Temeke Mwisho saa 8 kuelekea Mbagala then Mtwara basi Moja na Masasi basi lingine.
Lakini pia mdau anapaswa kufahamu kama nyongeza:-
1. Magari yote ya Wilaya za Mtwara na Lindi huanzia Temeke mwisho saa 12 asubuhi na Mbagala( Newala,Tandahimba,Mangaka,Tunduru,Rwanga,Nachingwea). Lakini yapo Magari mengi mazuri na makubwa yanaanzia Mbagala karibu kila baada ya saa 1 hadi saa9 kuelekea Wilayani Kilwa ila stendi ni Mbagala. Kwa safari za mjini Mtwara mabasi mengi huanzia saa 12 Ubungo na basi la Machinga huanzia Temeke saa 12 asubuhi.
2. Ukitaka kwenda Mjini Mtwara mabasi mengi huanzia saa 2 hadi saa 9 na mara nyingi huwa ni mabasi yenye hadhi nzuri kwa maana yana full Ac na kuna ustaarab mkubwa kwa route za mchana,na utapanda saa2,3,4,5,6 7 na saa 8 siku nyingine hadi saa9,yaani unajitune muda uutakao,lakini huanzia Temeke Mwisho. Mabasi hayo ni Leo,Buti la Zungu,Ibra Line,Maning Nice,Machinga,King Yasin nk. Kazi kwako
2.
Donkere91 zile ruti soma hapa sasa.
Huyu kamaliza kila kitu
 
Hatr sana [emoji122][emoji122]
 
Umeeleza vizuri. Na kwa safari ya kwenda Mtwara mjini ni basi gani zuri zaidi kati ya hayo uliyotaja? Ukitoka Dar saa 12 asubuhi utafika Mtwara mjini kwenye saa ngapi?
 
Mkuu kama unaendea korosho nishtue na mimi nikuagize hata kilo 2
 
Umeeleza vizuri. Na kwa safari ya kwenda Mtwara mjini ni basi gani zuri zaidi kati ya hayo uliyotaja? Ukitoka Dar saa 12 asubuhi utafika Mtwara mjini kwenye saa ngapi?
Nitaanza kujibu muda. Kwa zamani ulikua ukitoka Ubungo saa 12,unafika Mtwara saa7 hadi saa 8 mchana. Kwa sasa ni saa 8:30 hadi saa 9 kutokana na speed limit na ving'amuzi.
Kwangu mimi napendelea Buti la Zungu hasa yale ya saa4,saa5 na saa8. Yako vizuri sana.
Kwa ufupi,gari zote za mchana hata zile zinazotoka Tanga au Morogoro. Nazo ni Maning Nice,Tashrif na zile za Sudan ambazo ni Biti la Zungu,King Yasin na Machinga.
 
Ahsante ndugu.
 
Kweli kabisa.
Mtwara mabasi mpaka ya saa 8 mchana.

Afande Sele anakwambia, wengine watabaki na roho za korosho na wengine watabaki na pesa za korosho.
Mtwara kucheleeee.

Mwambie mtoa mada akifika Mtwara kota za Bandari gereji, amsalimie Hamisi Waya
Aisee Hamisi waya namjua vizuri sana.. Kigarage chake bado kipo??
 
Back
Top Bottom