Totobaya Mbuto
Member
- Sep 23, 2017
- 13
- 3
- Thread starter
- #21
Ikowapi hiyo hospitalNa wewe hazijabalance?? Njoo upewe mhogo wa jangombe..! Zitakuwa activated..
Ikowapi hiyo hospitalNa wewe hazijabalance?? Njoo upewe mhogo wa jangombe..! Zitakuwa activated..
Mkuu hujajibu vema, umejuaje kama yuko nahiyo shida? Yani unasikia homa unaenda maabara unawaambia mnipime malaria? Sio kila homa ni malaria, onana na mtaalamu, muelekeze shida yako then mnaanzia hapoNdomaana nikaulizia vipimo akapime
Aende hospitali ya TMJ (Dsm)Samahani wakubwa naulizia kipimo cha Hormonal Imbalance hapa Tanzania kipo kama kipo kinapatikana wapi naomba msaada coz kuna rafiki yangu anatatizo