Wapi nitapata kipimo cha hormonal Imbalance and Premature Ejaculation"

Sep 23, 2017
13
3
Samahani wakubwa naulizia kipimo cha Hormonal Imbalance hapa Tanzania kipo kama kipo kinapatikana wapi naomba msaada coz kuna rafiki yangu anatatizo
 
Na wewe hazijabalance?? Njoo upewe mhogo wa jangombe..! Zitakuwa activated..

Buhahahahaha ! Nacheka utafikiria mazuri... Sio poa, kiongozi...kijana anataka msaada na ushauri...we unamletea hizo
 
Usikimbilie kusema ana shid ya hormone imbalance. Kajuaje kama ana iyo shida
 
Back
Top Bottom