el nino JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 4,712 Reaction score 5,072 Nov 16, 2015 #21 MeinKempf said: Mkuu sasa si kitakuwa kina kukoga huko mtaroni ..au hii inakuwa imekaaje..? Je, kama vipo , utafiti unaoneshaje matokeo yake hasa unapokitumia muda mrefu na zile tabia za ki " #bwabwa " ..hivi kweli una salimika kweli . Click to expand... lipo ila nishati yake.... inapatikana kwa kulikalia ..... joto unalotengeneza hapo ndo linatumika kujipikilisha
MeinKempf said: Mkuu sasa si kitakuwa kina kukoga huko mtaroni ..au hii inakuwa imekaaje..? Je, kama vipo , utafiti unaoneshaje matokeo yake hasa unapokitumia muda mrefu na zile tabia za ki " #bwabwa " ..hivi kweli una salimika kweli . Click to expand... lipo ila nishati yake.... inapatikana kwa kulikalia ..... joto unalotengeneza hapo ndo linatumika kujipikilisha
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,226 Reaction score 44,221 Nov 16, 2015 #22 Lipo pressure cooker, linapika wali, maharage, nyama, na nafaka nyengine ngumu. Kama ni maharage inasaidia kutoka state ya ugumu hadi kuwa malaini kwa ajili ya kuunga then vilivyobakia unafanya mwenyewe same kwa nyama na hivyo vyengine.
Lipo pressure cooker, linapika wali, maharage, nyama, na nafaka nyengine ngumu. Kama ni maharage inasaidia kutoka state ya ugumu hadi kuwa malaini kwa ajili ya kuunga then vilivyobakia unafanya mwenyewe same kwa nyama na hivyo vyengine.
M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,932 Reaction score 11,863 Nov 16, 2015 #23 jembe afrika said: Mmea wa bob marley kumbe unamadhara kiasi hiki? Click to expand... Acha kusingizia mmea mtakatifu.
jembe afrika said: Mmea wa bob marley kumbe unamadhara kiasi hiki? Click to expand... Acha kusingizia mmea mtakatifu.