Nahitaji haya mabati kwa ajili ya kuextend chumba cha ofisi nje ya jengo kubwa.
Au kama kuna mtu anajua material ambazo ni za uzito mwepezi na hazipenyezi maji wala kuoza anisaidie.
View attachment 3623835