Wapi nitapata hivi Viatu?

Wapi nitapata hivi Viatu?

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,511
Dada zangu wa humu jf mnaojua kuwaka aka kudamshi naombeni msaada wapi nitaipata hii chuma? Nimeilewa sana nataka nimsaprizi wifi lenu kama zawadi. Nmetafuta sinza nmekosa sasa atakae niambia wap nitaipata nitampa vocha I swear.
462097f2-2035-4415-b1f9-f2532f347994.jpg
 
Dada zangu wa humu jf mnaojua kuwaka aka kudamshi naombeni msaada wapi nitaipata hii chuma? Nimeilewa sana nataka nimsaprizi wifi lenu kama zawadi. Nmetafuta sinza nmekosa sasa atakae niambia wap nitaipata nitampa vocha I swear. View attachment 1543287

mcheki insta flavy collection kuna kipindi alikuaga navyo, ukikosa mcheki beatricetrend shoes au frank knows hao wote wapo sinza ukikosa kwa hao wote basi makumbusho au mwenge wanapouza heels za mtumba huwezi kosa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom