Wapi nitapata hii software (Virtual DJ, version 7)? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi nitapata hii software (Virtual DJ, version 7)?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kibirizi, May 3, 2012.

 1. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Naomba mwenye ufahamu wapi nitapata hii virtual Dj version 7 anifahamishe iwe link ya kudownload au la!

  VIRTUAL DJ.png
   
 2. M

  Mzawa Halisi JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 500
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Check cnet.com downloads
   
 3. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nashukuru mkuu ila naona kama ni Youtube au sijaelewa baada ya kufungua unaendaje?
   
 4. Lweganwa

  Lweganwa Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
 5. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
 6. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Kama upo arusha ni-MP tukutane jioni hii, nikupe mkuu!
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Babaubayausiwe hivyo acha Ubaguzi wa mkoa ( teh teh teh )
  Inamaana mtumizi ya internet kikomo chake ni jf tu. Hivi sasa tunasema Dunia imekuwa kama kijiji(global village ) sababu haijalishi mtu uko wapi.With just a click kama ukimua hata mtu wa kigoma unaweza kumpatia .

  kuna file sharing kama Mediafire , 4shared Googledocs hata Jf store na nyingine.


  Unaweza kupata kwenyetoorentsite.Mojawaponi hii maarufu duniani thepiratebay.se . Just type virtual Dj then chagua yenye seeders wengi na yenye comment zinazoridhisha.....

  BTN
  Unaweza pitia pia tovuti hii ya top ten reviews ujue DJ mixing software nyingine mbadala na zinalinganishwa vipi na Virtual DJna features zake
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. rickymj

  rickymj Senior Member

  #8
  May 4, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  just visit (thethingyouneed.blogspot.com) tho unatakiwa uwe na winrar for extracting broda.
   
 9. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Mkuu sina ubaguzi wa mkoa, nimesema kama yupo Arusha kwa sababu ningeweza kukutana nae physically na kumpa hii software!
   
Loading...