Misunderstood
JF-Expert Member
- Aug 4, 2020
- 392
- 896
Jamani nimefika Ubungo Sheli nimepata coaster soon linaondoka!
Ila hii safari nimepania mno mpaka nahisi kifo kinaniita! Na sina naloenda kufanya huko bali nimemiss tu wazazi ila nimeshindwa kusubiria kesho yaani roho haikubali kabisa! Soon naanza safari.
Nenda Ubungo Kibo
Utasafiri
Mbezi mwisho daily kuna usafiri jioniNenda mwenge pale sheli ya puma
Kuna costa za kuja Arusha usiku
Akapande gari za magazeti sio? HahaaNenda Ubungo Kibo
Utasafiri
Mhhhh zile gari balaaaAkapande gari za magazeti sio? Hahaa
Dah hii risk Sana Dah Arusha kwa Costa halaf usikuUbungo Kibo,Mwenge hapo sheli kuna Coaster zinapiga route usiku daily
Mwenyewe nilikuwa na wasiwasi kama wewe ila nilipofika nikakuta kuna usalama wa kutosha kabisa na abiria wapo wengi sana na ni route zinazofahamikaDah hii risk Sana Dah Arusha kwa Costa halaf usiku
Tafuta gari la MAGAZETI linaondoka usiku na alfajiri unakuwa uko Arusha.Habari wakuu!
Nahitaji kujua kama kuna usafiri wowote wa jioni au usiku wa kwenda Arusha!
Nimepata dharura nahitaji kusafiri jioni/usiku wa leo huko na nimezoea kusafiri na mabus ya kawaida tu! Nimefatilia Kilimanjaro Xprs safari za usiku wamesitisha kwa mda!
Msaada wenu tafadhali wapi naweza usafiri wa jioni wa kwenda Arusha.
Nadhani hata Bus za Kilimanjaro wa gari ya usiku niliona tangazo laoHabari wakuu!
Nahitaji kujua kama kuna usafiri wowote wa jioni au usiku wa kwenda Arusha!
Nimepata dharura nahitaji kusafiri jioni/usiku wa leo huko na nimezoea kusafiri na mabus ya kawaida tu! Nimefatilia Kilimanjaro Xprs safari za usiku wamesitisha kwa mda!
Msaada wenu tafadhali wapi naweza usafiri wa jioni wa kwenda Arusha.
Wamesitisha kwa muda mkuuNadhani hata Bus za Kilimanjaro wa gari ya usiku niliona tangazo lao
Nenda Mbezi mwisho uliza baa ya makuti utaona coaster hapo zinaenda Moshi. Ukifika Moshi kupata gari ya kwenda Arusha ni rahisiAsanteni sana ndugu zanguni!
Hivi kwa cosater za hapo Mwenge mpaka Arusha inaweza kuwa bei ganiUbungo Kibo,Mwenge hapo sheli kuna Coaster zinapiga route usiku daily
Nauli inaweza kuwa bei ganiNenda mwenge pale sheli ya puma
Kuna costa za kuja Arusha usiku