Wapi nitapata diploma hii jamani

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,945
724
Wadau mimi ni mtumishi ktk kampuni flani lakini ningependa kusomea IT japo diploma ila kwa distance learning maana nikiacha kibarua hali yangu itakuwa ngumu mwenye uzoefu anisaidie niweze kusoma nikiwa kazini
 
Wadau mimi ni mtumishi ktk kampuni flani lakini ningependa kusomea IT japo diploma ila kwa distance learning maana nikiacha kibarua hali yangu itakuwa ngumu mwenye uzoefu anisaidie niweze kusoma nikiwa kazini
jaribu kucheki university of dsm computing centre
 
OK Nikupongeze kwa wazo zuri, kwa UK pana chuo kimoja kikongwe ICS- International Correspondance School walikuwa na mwakilishi wao hapa dar zamani kwa ss sn uhakika naamini utapata material yote kabisa na latest/new technology ni speed yako tu,
 
Hongera sana, kaka nafikiri fuata ushauri wa kaka. chuo chao kiko mtaa wa samora, ukiuliza utapata.
 
Mkuu unaweza hata kuisoma part time mida ya jioni. Check websites za vyuo hapa bongo. Pia search google, Jaribu pia kuwa specific. Diploma gani ya IT. IT ni pana sana. Otherwise, hongera kwa jitihada za kutaka kusoma. Wish you all the best.
 
Ncc uk curricullum ni the best check via iit au learn it au power computer wana evening program pia na classroom na distance combined program
 
Cambridge international college_cic nao wako safi ila utapaswa ukaze msuli kama ics programs- all the best
 
Nashukuru kwa mawazo yenu wakuu nimeshaanza mchakato na matumaini ni mazuri, kweli JF ni shule tosha.
 
Back
Top Bottom