dimple
Senior Member
- Dec 6, 2016
- 106
- 143
Habari wana Jamii Forums
Naombeni mnisaidie mawazo yenu kwa yeyote anaejua wapi nitapata chimbo la vyombo vya mtumba kwa bei ya jumla nimeanza kukusanya mzigo wangu kidogokidogo ila hawa wanaotuuzia ni wagumu sana kukwambia wapi wao wanatoa mzigo nimejaribu kufanya research yangu nimeambiwa ni
1.Zanzibar sasa mm sijawahi kufika zanzibar je kwa anaefahamu ni zanzibar sehemu gani?
2.Nimeambiwa ni bandarini eti container linakuja limegungwa ma baro ya vyombo kwenye ma box sasa hii dondoo hakutaka niambia kila kitu kwa madai nitamkimbia sitawndelea kumuungisha akaja na kigezo hao wauzaji hawauzii wanawake nikamwambia basi mr yupo akaja na nitafikiria hadi nimwambie kama atakubar sabab hua anachagua wateja basi nikajiongeza tu hana nia ya kuniambia
baadae nikapeleleza nikaambiwa huyo jamaa ni mzanzibar basi nikahisi huenda hakuna vha bandarin wala nn anatoa mzigo kwao zanzibar
Hivyo basi ndugu zangu naombeni anaejua wapi hivi vyombo vya used vinatoka naomba unisaidie mm hii biashara naipenda saana na nimeamua kuanza rasmi mtaji sio shida saanaa nitaanza
Kidogokidogo ila nitakua naongeza mtaji kulingana na mahitaji ya watu
Mwanzoni nitaweka vyombo mtumba then nitaongeza na vyombo vipya
Naombeni mnisaidie tuendeleze gurudumu la maisha.
Natanguliza shukran zangu za dhati kabisa.
Nawapenda