Huo mfumo wa kupata internet kwa kutumia dish kuna mawakala ambao itabidi uwasiliane nao wapo wengi tu, mfano hizi satelite zinazotumiwa ili kupata azamtv,dstv,ting na wengine pia ndio hizo hizo hutumiwa kurusha mawimbi ya data ambayo yapo katika mfumo wa ka band wakati haya ya tv yapo either katika mfumo wa Ku band au c band, sasa pia kwenye urushaji wa data kuna kampuni tofauti tofauti kama unavyoona kwenye TV kwamba huyu anatumia Huduma ya azam na huyu dstv, pia uwekwaji wa dish itategemea yule anaekupa Huduma kapanga satellite gani