Nawasalimu wadau,
Mimi ni mkazi wa Dar na ninataka kujifunza lugha ya kiarabu. naomba munisaidie ni wapi kwa hapa Dar ninaweza kupata wataalamu wazuri wenye kujua kufundisha lugha hii.
Hakuna taasisi huru au mtu ambaye hafungamani na dini anayefunduisha lugha kama lugha?mskt wa mtambaan au temeke easy way
i see....[url="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=283484" said:wonderful[/url];14498645]piga namba hii mkuu:0755448117.
Wapo kwa aziz ally mtoni.
Coz ni mwaka mmoja utaongea kiarabu kama rais wa iran.
kumbeee eeeenhh!!basi vizuriNdugu cr9 , Kujuwa kiswahili ni nusu ya kuelewa lugha ya kiarabu LUGHA mama!!
kwa urahisi naweza kukusaidia kuandika na kusoma.....
Piga namba hii mkuu:0755448117.
Wapo kwa Aziz Ally mtoni.
Coz ni mwaka mmoja utaongea kiarabu kama rais wa Iran.