Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,111
- 34,946
Kama umechoka na maisha ya bongo ninakushauri katika nchi ulizozitaja bora uende nchini Botswana katika nchi za bara Asia nenda Japan au South Korea Au brunei..Bongo sitaki tena nataka nikimbie, naombeni ushauri kati ya hizo nchi wapi angalau nikienda sifi njaa nikipambana kati y'a Botswana, Mauritius, Namibia au Sychelles au South Africa
Au Morocco na nchi nyingine ongezea.
Bongo sitaki,
Naombeni pia kama kuna wenyeji kwenye hizo nchi wanitafute PM au hapa hapa
Mkuu inaonekana unauelewa na hiyo nchi, sio mbaya ukawapa vijana muongozo huuHapana nilishatoka nilikuwa naenda Canada pale nilikaa kwa mda kidogo alafu wanawake wa kule wanavaa nguo fupi na ni walevi
Sorry mkuu...kama una uhakika maeneo uliyotaja ndipo yalipo maisha kwanini tusiombe serikali yetu tukufu kupitia wizara ya mambo ya nje isiyafuate hayo maisha ituletee hapa nyumbani?Bongo sitaki tena nataka nikimbie, naombeni ushauri kati ya hizo nchi wapi angalau nikienda sifi njaa nikipambana kati y'a Botswana, Mauritius, Namibia au Sychelles au South Africa
Au Morocco na nchi nyingine ongezea.
Bongo sitaki,
Naombeni pia kama kuna wenyeji kwenye hizo nchi wanitafute PM au hapa hapa
Una ujuzi gani kama ni daktari wa binadamu Botswana kutakufaa, mimi nilienda zamani 1991 nilifika hadi mji unaoitwa Kanye, ipo hospitali inaitwa Kanye hospital ya Adventist, (wasabato), shemeji yangu alikuwa anafanya kazi hapo, nilipita hapo nikielekea south AfricaBongo sitaki tena nataka nikimbie, naombeni ushauri kati ya hizo nchi wapi angalau nikienda sifi njaa nikipambana kati y'a Botswana, Mauritius, Namibia au Sychelles au South Africa
Au Morocco na nchi nyingine ongezea.
Bongo sitaki,
Naombeni pia kama kuna wenyeji kwenye hizo nchi wanitafute PM au hapa hapa
Mkuu hii haiwezi kumletea shida mwenye namba yake kwa kuiweka hapa? Au haina shida? Maana asije kushangaa anatafutwa na msururu wa watu akajiuliza imekuwaje wamepata namba yake!Nenda botswana mtafute huyo mtu +26773647948 atakusaidia sana ni m tz au mtafute ecureui sethora motsholele (huyu mbotswana) kwenye facebook bonge la mtu wewe tu jinsi utakavyointerack naye
Sychelles, idadi ya watu ni ndogo mno, pia kuwa warembo wa kutisha mno
Kivipi yaani chief?Hiyo nchi ukiingia kutoka ni ngumu sana
Kuwa Mzalendo, endelea kuyatafuta nchini mwako usaidie kuijenga nchi kama wenzenu walivyojenga kwao.Bongo sitaki tena nataka nikimbie, naombeni ushauri kati ya hizo nchi wapi angalau nikienda sifi njaa nikipambana kati y'a Botswana, Mauritius, Namibia au Sychelles au South Africa
Au Morocco na nchi nyingine ongezea.
Bongo sitaki,
Naombeni pia kama kuna wenyeji kwenye hizo nchi wanitafute PM au hapa hapa
Kwa nini mkuu?Hiyo nchi ukiingia kutoka ni ngumu sana
Pamoja na yote umtangulize Mungu na uwe mvumilivu na mwenye subira kwa kila hatua uipitayo na nidhamu ya fedha/kipato utakacho jaaliwa hapo utatoboa.Bongo sitaki tena nataka nikimbie, naombeni ushauri kati ya hizo nchi wapi angalau nikienda sifi njaa nikipambana kati y'a Botswana, Mauritius, Namibia au Sychelles au South Africa
Au Morocco na nchi nyingine ongezea.
Bongo sitaki,
Naombeni pia kama kuna wenyeji kwenye hizo nchi wanitafute PM au hapa hapa
Kupambana kwa shughuru ipi? | Kila nchi ina fursa zake tofauti na nyingine, Kipengele hiki inatakiwa ufunguke zaidi ili wadau wakupe mchango stahiki.sifi njaa nikipambana kati
Mauritius watu wapo poa sana nimeshafanya auditing miezi 9 nili enjoy sanaBongo sitaki tena nataka nikimbie, naombeni ushauri kati ya hizo nchi wapi angalau nikienda sifi njaa nikipambana kati y'a Botswana, Mauritius, Namibia au Sychelles au South Africa
Au Morocco na nchi nyingine ongezea.
Bongo sitaki,
Naombeni pia kama kuna wenyeji kwenye hizo nchi wanitafute PM au hapa hapa
Njoo Botswana
Akiwazacho mjinga......Sorry mkuu...kama una uhakika maeneo uliyotaja ndipo yalipo maisha kwanini tusiombe serikali yetu tukufu kupitia wizara ya mambo ya nje isiyafuate hayo maisha ituletee hapa nyumbani?
Nenda botswana mtafute huyo mtu +26773647948 atakusaidia sana ni m tz au mtafute ecureui sethora motsholele (huyu mbotswana) kwenye facebook bonge la mtu wewe tu jinsi utakavyointerack naye
Sio vizuri kusumbua watu yaani unaanzajeanzaje kumsumbua mtu hiyo ni namba ya kweli mt yupo botswana ukiwa huko anaweza kuwa na msaada anapatikana gaboroneMkuu hii haiwezi kumletea shida mwenye namba yake kwa kuiweka hapa? Au haina shida? Maana asije kushangaa anatafutwa na msururu wa watu akajiuliza imekuwaje wamepata namba yake!
Mkuu umeielewa lakini maana yangu?Sio vizuri kusumbua watu yaani unaanzajeanzaje kumsumbua mtu hiyo ni namba ya kweli mt yupo botswana ukiwa huko anaweza kuwa na msaada anapatikana gaborone
Wabongo kibao wako pande za Namibia,tembea tembea alafu ulizia watakuonyesha tu ndugu zako.Kka nasikia namibia pazuri ila sijaona wabongo wakikaa huko