Bujibuji ulienda kumchungulia mke wa jirani siku nyingi ulikua unamzimia ww,au mlipanga mkutane chooni? maana nyumba za kupanga zina mambo,hilo bafu halina komeo? au hakufunga mlango? na kwanini asifunge kama siyo mlikubaliana?
Kwenye sayansi kimu tulifundishwa chupi zinatakiwe zianikwe ambapo zitapata mwanga wa jua. Anika nje kwenye kamba. Kama unaogopa labda chupi zako zina tatizo au unaogopa waweza rogwa.