Wapi Nawezapata Fito za Dish ft 8?

Wapi Nawezapata Fito za Dish ft 8?

1954tanu

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,038
Reaction score
487
WanaJF naomba kujulishwa wapi kwa Dar nawezapata fito za dish la ft 8 la bati(sio la wavu). Aidha, nijulishwe na bei yake.
 
kwa mafundi geti wanaochomelea kama unataka custom made. au kama kununua (sina uhakika kama wanauza separate) nenda kariakoo msimbazi jengo la simba ingia ndani utakuta maduka mengi sana ya madishi na receiver
 
Nenda kwa fundi majiko atakutengezea au tumia nondo za mm 12 au frat baa
 
Back
Top Bottom