Wapi nawezanunua Wheel Alignment machine?

Mpwa wangu, hioo ni picha tu sio lazima iwe na hivyo vibwagizo vya juu but it should be fully computerized. Asante na MUNGU akubariki
Nimeshaiona Mkuu, nimekusoma clear kabisa, nipe muda nifanye mawasiliano.
 
Mpwa wangu, hioo ni picha tu sio lazima iwe na hivyo vibwagizo vya juu but it should be fully computerized. Asante na MUNGU akubariki

Nimekupata mpwa, nimeshaipata. Hizi huwa zinakuwa tofauti, hiyo winch inayonyanyua gari inajitegemea, na hiyo aligner na yenyewe unanunua separately. Nasubiri bei hapa, wakishanitumia nitakuwekea hapa mkuu.
 
OOH SIKUJUA kumbe inauzwa separately, ok ok Mpwa ntaomba basi bei ya kitu complete. Sorry Mpwa nisamehe sikujua bhana, ok kwahio ni aligner, zile camera, hio lifter na nini tena?
Nimekupata mpwa, nimeshaipata. Hizi huwa zinakuwa tofauti, hiyo winch inayonyanyua gari inajitegemea, na hiyo aligner na yenyewe unanunua separately. Nasubiri bei hapa, wakishanitumia nitakuwekea hapa mkuu.
 
Mpwa wangu, hioo ni picha tu sio lazima iwe na hivyo vibwagizo vya juu but it should be fully computerized. Asante na MUNGU akubariki

Hii inanyanyua mpaka Tani 50!
winch.jpg

Na aligner yake: hight tech
aligner.jpg
 
Mpwa tafuta ya uzito wa kati tu, vigari vya hapa hapa bongo bhana....

Poa mkuu, nasubiri quotation yao kwanza, wakishaleta nitaongea nao kuona wana options zipi!
Pamoja mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom