Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,802
Mkuu tunaogopa kuonekana tunawapigia watu promo kwenye mitandao na ukumbuke wengi wanao fanya biashara hizo na tunapo tangaza biashara yao sio sahihi kwa mtazamo WanguOi mkuu tuma hapahapa hata sisi tunafanya hzo biashara so itapendeza endapo utatujuza wote ahsante