Ngoja nikutaftiewakuu habari.!
nina swali wapi naweza pata short course or hata zikiwa a bit long za Forex specially kwa DAR ni for my sister.
Asante
bit.ly/2MzInU3wakuu habari.!
nina swali wapi naweza pata short course or hata zikiwa a bit long za Forex specially kwa DAR ni for my sister.
Asante
Ni kweli kabisa...sema siunajua madogo wetu wamekalili kitu mpka ufundishwe,ni kwa ajili ya sister yangu mdogo.Nimemtumia baadhi ya docs kwa ajili ya kujisomea amezipitia zipia sema nilimuahid kumtafutia course,tatizo alikaa home mda kidogo pasipo kufanya kitu so akiwa anaenda sehemu kama kwa training like class itasaidia ku boost mood.bit.ly/2MzInU3
Forex - Anaweza kujisomea na akaelewa: Kupitia hii link: Learn How to Trade the Markets
Ila sasa, Tukija kwenye
Trading yenyewe sasa - Hapo ndipo panahitaji Timing, Entry & Exit Sahihi & Simple analysis ( TL/ S&R), Hapa ndipo wengi wanakwama.
Pili nipo nje ya nchi na kazi yangu inanibana kidogo atleast hata kumfanyia training ya forex...nataka mtu am boost then i will take from thereNi kweli kabisa...sema siunajua madogo wetu wamekalili kitu mpka ufundishwe,ni kwa ajili ya sister yangu mdogo.Nimemtumia baadhi ya docs kwa ajili ya kujisomea amezipitia zipia sema nilimuahid kumtafutia course,tatizo alikaa home mda kidogo pasipo kufanya kitu so akiwa anaenda sehemu kama kwa training like class itasaidia ku boost mood.
Mkuu naomba no ya sister then nita clear kila kitu.
Hahahahaha!!Mkuu naomba no ya sister then nita clear kila kitu.
Mkuu kama akikupa hizo namba unitag..Mkuu naomba no ya sister then nita clear kila kitu.
Mkuu njoo pm nitamsaidiashukran nitashukuru:
Pili nipo nje ya nchi na kazi yangu inanibana kidogo atleast hata kumfanyia training ya forex...nataka mtu am boost then i will take from there