Wapi naweza pata (nunua) sony walkman kwa hapa dar??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi naweza pata (nunua) sony walkman kwa hapa dar???

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by T.K, Jul 10, 2012.

 1. T

  T.K JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 345
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wadau,

  Kuna zile Sony Walkman za kutumia tape (cassette tape), kwa hapa mjini Dar wapi naweza enda nikapata?

  Nitafurahi kwa anaejua mahali naweza pata akanielekeza na bei pia kama kuna anaefahamu.

  Natanguliza shukrani.
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Jaribu kariakoo Mkuu
   
 3. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  NI PM NIKUPE NAMBA YA MPESA UNITUMIE HELA NITAKULETEA ULIPO ZIKO ZA LAKI TANO,NNE NA MILIONI MOJA ZINATOKA CHINA ,USA NA JAPAN ILA KUNA ZA ELF HAMSINI KUTOKA RWANDA UNATAKA ZIpI??
   
 4. s

  sawabho JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Na umempelekee kweli, vinginevyo ujiandae kusikia miziki ya Walkman tumboni mwako !!!!
   
 5. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo bei!! lazima WalkMan aimbe tumboni
   
 6. Machozi ya Simba

  Machozi ya Simba JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 2,115
  Likes Received: 849
  Trophy Points: 280
  mambo ya zaman sana hayo si ununue tu hata mp3 player za kichina za 20000
   
 7. tata mvoni

  tata mvoni JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  walkman ya sony daaaaaa! Umenikumbusha walkman yangu niliinunu mwaka 2000 zanzibar buku 15 ila baada ya kuingia ipod hata ckumbuki ilipo aseeeeeee kazana kutafuta ila cku hzi ipod,mp3 ndo mpango mzimaaaaaaaa
   
Loading...