Shukrani mkuu, ngoja nisubiri wanijuzeNenda samsung service center, sijajua kwa dsm walipo wajuzi watakujuza, advantage waliyonayo ni vifaa bora vya kisasa vya kufungulia simu zao hata ukipeleka kwa fundi wa mtaani atakucharge juu kisha ataipeleka samsung, pia mbali na vifaa vya ufundi pia jamaa wana vifaa original vya simu zao ambazo mtaani ni fifty fifty kupata
umenisaidia nami pia ahsanteNenda samsung service center, sijajua kwa dsm walipo wajuzi watakujuza, advantage waliyonayo ni vifaa bora vya kisasa vya kufungulia simu zao hata ukipeleka kwa fundi wa mtaani atakucharge juu kisha ataipeleka samsung, pia mbali na vifaa vya ufundi pia jamaa wana vifaa original vya simu zao ambazo mtaani ni fifty fifty kupata
ile waranty in cover na breakage Chief?kupata touch original bongo ni mtihani, utaekewa touch ambayo hata kuandika vizuri ni tabu, pia wengi wanatumia gundi ya viatu.
s7 edge ina warranty ya miaka 2 hivyo angalia simu yako kama ipo ndani ya warranty kisha peleka samsung watakutengenezea bure hicho kioo. wanaangalizana na kituo cha mabasi mwendokasi kariakoo.
angalia model ya simu yako ni G935F?
yap kuna kitu kinaitwa ADH (accidental damage handling) simu ikipasuka kioo au kuingia kwenye maji unatengenezewa bure, ila sharti lake iwe ni flagship (s au note series) na iwe imetoka chini ya miaka miwiliile waranty in cover na breakage Chief?
Yes mkuu ni G935fkupata touch original bongo ni mtihani, utaekewa touch ambayo hata kuandika vizuri ni tabu, pia wengi wanatumia gundi ya viatu.
s7 edge ina warranty ya miaka 2 hivyo angalia simu yako kama ipo ndani ya warranty kisha peleka samsung watakutengenezea bure hicho kioo. wanaangalizana na kituo cha mabasi mwendokasi kariakoo.
angalia model ya simu yako ni G935F?
Yes mkuu ni G935f
1. inabidi uwe na imei, cheki nyuma ya simu au tumia boxYes mkuu ni G935f
Sawa sawa mkuu ngoja nifanye hivyo.1. inabidi uwe na imei, cheki nyuma ya simu au tumia box
2. andika neno hili kwenye box la sms
REG*imei yako#
kwenye neno imei yako utaweka zile namba za imei
3. tuma kwenda 15685
hakikisha simu yako ina hela kama 500 na sio kifurushi.
alternative kuna app ya ADH playstore ila sijawahi kuitumia.