Wapi naweza pata mafundi wazuri kufanya replacement ya kioo cha simu

Oculus

JF-Expert Member
Apr 21, 2014
640
500
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, simu yangu "S7 edge" imedondoka na kioo cha mbele kime_crack. Naomba kufahamu kwa Dar wapi kuna mafundi wazuri wakufanya replacement. Natanguliza shukrani.

Pia kuna video hiyo nimeona YouTube ikanivutia...
URL]
 
the horticulturist

JF-Expert Member
Aug 24, 2012
1,814
2,000
Nenda samsung service center, sijajua kwa dsm walipo wajuzi watakujuza, advantage waliyonayo ni vifaa bora vya kisasa vya kufungulia simu zao hata ukipeleka kwa fundi wa mtaani atakucharge juu kisha ataipeleka samsung, pia mbali na vifaa vya ufundi pia jamaa wana vifaa original vya simu zao ambazo mtaani ni fifty fifty kupata
 
Shukrani mkuu, ngoja nisubiri wanijuze
 
124 Ali

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
7,673
2,000
Nenda samsung service center, sijajua kwa dsm walipo wajuzi watakujuza, advantage waliyonayo ni vifaa bora vya kisasa vya kufungulia simu zao hata ukipeleka kwa fundi wa mtaani atakucharge juu kisha ataipeleka samsung, pia mbali na vifaa vya ufundi pia jamaa wana vifaa original vya simu zao ambazo mtaani ni fifty fifty kupata
umenisaidia nami pia ahsante
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,797
2,000
kupata touch original bongo ni mtihani, utaekewa touch ambayo hata kuandika vizuri ni tabu, pia wengi wanatumia gundi ya viatu.

s7 edge ina warranty ya miaka 2 hivyo angalia simu yako kama ipo ndani ya warranty kisha peleka samsung watakutengenezea bure hicho kioo. wanaangalizana na kituo cha mabasi mwendokasi kariakoo.

angalia model ya simu yako ni G935F?
 
ile waranty in cover na breakage Chief?
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,797
2,000
ile waranty in cover na breakage Chief?
yap kuna kitu kinaitwa ADH (accidental damage handling) simu ikipasuka kioo au kuingia kwenye maji unatengenezewa bure, ila sharti lake iwe ni flagship (s au note series) na iwe imetoka chini ya miaka miwili

kwa sasa simu hizo ni s7, s8, note 7 marehemu na note 8

nafkiri wana app ya ADH playstore, pia kuna namna nyengine ya kuregister na namba
 
Oculus

JF-Expert Member
Apr 21, 2014
640
500
kupata touch original bongo ni mtihani, utaekewa touch ambayo hata kuandika vizuri ni tabu, pia wengi wanatumia gundi ya viatu.

s7 edge ina warranty ya miaka 2 hivyo angalia simu yako kama ipo ndani ya warranty kisha peleka samsung watakutengenezea bure hicho kioo. wanaangalizana na kituo cha mabasi mwendokasi kariakoo.

angalia model ya simu yako ni G935F?
Yes mkuu ni G935f
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,797
2,000
Yes mkuu ni G935f
Yes mkuu ni G935f
1. inabidi uwe na imei, cheki nyuma ya simu au tumia box

2. andika neno hili kwenye box la sms

REG*imei yako#

kwenye neno imei yako utaweka zile namba za imei

3. tuma kwenda 15685

hakikisha simu yako ina hela kama 500 na sio kifurushi.

alternative kuna app ya ADH playstore ila sijawahi kuitumia.
 
Oculus

JF-Expert Member
Apr 21, 2014
640
500
1. inabidi uwe na imei, cheki nyuma ya simu au tumia box

2. andika neno hili kwenye box la sms

REG*imei yako#

kwenye neno imei yako utaweka zile namba za imei

3. tuma kwenda 15685

hakikisha simu yako ina hela kama 500 na sio kifurushi.

alternative kuna app ya ADH playstore ila sijawahi kuitumia.
Sawa sawa mkuu ngoja nifanye hivyo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom