Wapi naweza pata hii kitu

Slim5

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
28,108
37,644
Nina shida haswa! Nipo Morogoro
tapatalk_1509553806792.jpeg
 
Unahitaji ikiwa mbichi kama anayotumia huyo mnyama au? Fika Maeneo ya Kigurunyembe Secondary School ukizunguka kama unataka kwenda Forest Hill utaikuta hiyo kitu imepandwa kama maua, ila kuwa makini, maana nna wasi wasi na wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom