Wapi naweza pata chupa tupu mpya .

Wapi naweza pata chupa tupu mpya .

mabesela

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
1,294
Reaction score
680
Habari zenu ndg!! Ninaomba kujuzwa wapi naweza kupata chupa tupu mpya za plastiki mil 350/500. Kwa sasa nitahitaji chupa 1000-1500. Karibuni.
 
ujazo , rangi na maumbo gani mkuu unazohitaj ?
 
habari zenu ndg!! Ninaomba kujuzwa wapi naweza kupata chupa tupu mpya za plastiki mil 350/500. Kwa sasa nitahitaji chupa 1000-1500. Karibuni.

zipo. Napatikana kko. Tuwasiliane 0767102102
 
Nashukuru kwa ushirikiano wenu..Nipo Mtwara Mjini.
 
Back
Top Bottom