Wapi naweza kupata Pes 2017 PC Cracked?

Wapi naweza kupata Pes 2017 PC Cracked?

Chief hili la 16,unaweza kujua njia mkuu
fifa 16 ulikuwa unacheza kwa njia ya kubypass demo, sema kwa sasa njia zitakuwa ndefu sana inawezekana ila not worth it, utatakiwa kila kitu kukitafuta manual, kuaznia demo file na vikoro koro vyengine, google turk dm kupata njia ya kubypass
 
Poapoa chief.
 
Hivi pc ya atleast kurun mpk fifa 19 hivi inaweza kupatikana kwa bei kwa tz mkuu?
 
Gen ya 4 inacheza kwa tabu ila ya 6/7 pia unacheza. Inategemea na mwenyewe unatafutaje. Laki 6 unaipata kirahisi ila mpaka laki 4 unapata kama unatafuta hapa ni kwa laptop.

Kwa desktop gen ya 6 mpaka laki 3 unaipata ambayo unacheza bila dedicated gpu, na baadae ukiweka gpu unacheza kwa quality kubwa zaidi.
 
Okay mkuu..
Kwenye kutafuta ,lets say 600k ipo,
Unaweza share idea sehemu nikapata mkuu,
Laptop
 
mimi huwa naangalia kupatana, zoomtanzania, deals in dar etc kuwa tu na uvumilivu angalia kila siku, ndani ya wiki unapata machine nzuri.

kwa laki 6 gen ya 6/7 used madukani unaipata kirahisi husubirii sana ni common ukienda uhuru na swahili hadi uhuru na congo maduka mengi zipo na mtaa wa likoma na aggrey
 
Shukrani sana
 
Samahani wakuu nimejaribu kudownload na kuinstall pes17 kupitia ocean of games lakini nilipofika kwenye kipengere cha license key nimeshindwa aisee.wameniambia nichague offer ndipo nipewe lakini offer yenywe haipo ivi nifanye nini?
 
Soma maelekezo ya game lako, kuna Readme inayokuelekeza cha kufanya. Most of time kunakuwa na cracked folder la kupaste kwenye main folder la game.
 
Back
Top Bottom