Wapi naweza kupata Pes 2017 PC Cracked?

Wapi naweza kupata Pes 2017 PC Cracked?

game je linafanya kazi?
mimi lilicrash wakati nadownload
Untitledddd.png
 
mwenye shida na pes17 ya pc full version na yupo arusha mjini ani pm ninayo
 
yap hio naijua ila inarudi pale pale sio crack. hio security walioitumia kwenye FIFA 16 ndio nimeskia tetesi Imetumiwa kwenye pes 17.

nimeona jamaa amepost same trick kama yako hapo juu kwa pes 17 ila sijaijaribu, nikiwa na PC karibu nitakuekea link
Hivi mkuu,hili hadi leo hawaja crack?
 
Back
Top Bottom