Wapi naweza kupata MAC powder original?

Simara

JF-Expert Member
Oct 1, 2014
7,510
23,908
Habari, wapi ntapata mac powder na foundation yake original? Kama kuna mtu anajua wapi naweza kupata naomba anielekeze tafadhali!

Natanguliza shukrani
 
Kuna powder nzuri na Original pia kutoka Oriflame.. Naamini ukiipata utaenjoy mpaka pale MAC powder itakapokufiki.. Karibu ukihitaji kuiona na kufahamu bei yake waweza wasiliana nami kwa simu namba 0672416294
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom