Wapi naweza kupata kazi ya muda (tempo)

Wapi naweza kupata kazi ya muda (tempo)

venture1

Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
18
Reaction score
4
Natafuta sehemu ambayo naweza kufanya kazi ya muda ambayo itaweza kuniingizia angalau elfu kumi kwa siku! Msaada jamam
 
Natafuta sehemu ambayo naweza kufanya kazi ya muda ambayo itaweza kuniingizia angalau elfu kumi kwa siku! Msaada jamam

Sema una ujuzi gani walau, au unaweza kufanya kazi za aina gani, uko wapi na taarifa zingine za msingi.

Itasaidia kidogo...
 
Nimeliza BA PUBLIC RELATION AND MARKETING naweza fanya kibarua chochote kinachoendana na fan yangu au hata unskilled pia ilimrad niwe bize tu..napatikana dar
 
Duh! Elfu kumi kwa siku! Safiiii ukipata mkuu tujuze maana hilo ni zali haki tena!
 
Una Ujuzi gani...weka Elimu yako Chini ya Kapeti
 
wadau mhitimu mwaka huu mwez july, bachelor degree in business administration(BBA) is looking for internship,tempo. Yupo Dar
Please msaada wadau, waajir wengi hawatak provisional results na transcrpt bado
 
Joo hapa kariakoo tubebe zenge kwa siku unatoka na elfu 30,000 kama una guvu lakn.
 
Public relation and marketing BA
nina vitabu kama 300 vipo dar nataka kuuza na mi nipo mkoani. unaweza kutumia marketing yako tukauza?. tukifanikiwa hata edition zijazo tutafanya wote. ni pm namba yako kama uko interested.
 
Na anayeitaji Bima ya Afya kwa Bei ya Kitanzania Mume na mke na watoto Wawili ni Shs.250,000
 
Back
Top Bottom