Kamanda wa Kweli
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 1,448
- 846
Mkuu salaam! Mimi nimehimu maswala ya uhasibu. Vipi naweza kupata nafasi hata ya internship?Ipo mjini mtaa Wa Ohio,jengo linaitwa Amani Place floor ya 9,imetizamana Sheraton Hotel ya zamani