klorokwine
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 378
- 34
Wakuu sim yangu lg g Flex imedondoka nakuvunjika kioo, (touch screen), naomba msaada niwapi naweza pata kioo chake
Msaada tafadhali.
Msaada tafadhali.
Wakuu sim yangu lg g flex imedondoka nakuvunjika kioo,(touch screen),naomba msaada niwapi naweza pata kioo chake
Msaada tafadhali.
Mkuu hiyo simu ilifanyiwa majaribio ya kupigwa risasi na ikaonesha ustahimilivu ila kuangushwa tu screen imepasuka?
Ngoja waje wanao jua wapi utapata hitaji lako. Hizo simu kwa bei sasa duh!
Agiza online, kila kitu kipo online.Wakuu sim yangu lg g flex imedondoka nakuvunjika kioo,(touch screen),naomba msaada niwapi naweza pata kioo chake
Msaada tafadhali.
Hii technology haijakuwa tayari, ukidondosha hio simu kioo kinapasuka na test nyingi zinaonesha ni kidhaifu kuliko vya kawaida vilivyo na gorilla