Wapi naweza kupata Daktari bingwa wa macho Mkoani Mwanza?

Abramovic

JF-Expert Member
Sep 6, 2013
324
597
Wakuu Heshima kwenu,

Naomba msaada wa kuelekezwa ama kufahamishwa ni wapi naweza kupata Dakrari bingwa wa macho Mkoani Mwanza.

Nina mwanangu wa kiume umri wa miaka 5 anasumbuliwa na macho kuliko kawaida, tumejaribu hospital nyingi bila mafanikio hivyo tumeshauriwa kutafuta Daktari bingwa wa macho.

Natanguliza shukrani za dhati
 
Pole mkuu..nenda Bugando utapata huduma hiyo wa madaktari bingwa wa macho
 
Back
Top Bottom