Mkuu arduino hapa tz sidhani kama kuna duka. Ila kuna mshikaji wangu mmoja anafanya project za arduino na shirika moja la kimarekani. So kama vip njoo inbox nikupe contact zake.Nahitaji kufahamishwa duka lolote wanalouza arduino board Tanzania
Ndio nini?
Hiyo hapo mkuuni ishu gani hii aisee?
Unaweza kuwasiliana na 0659-087426; duka linaitwa BAFREDO Electronics, lipo opposite na njiapanda ya barabara ya chuo kikuu cha Dar es Salaam, Sam-Nujoma Road, utaona bango la maandishi ya LED linawaka na maneno yana scroll. Pia kwenye hilo duka kuna vifaa vingine vingi vya Electronics vya kufanyia projects wanafunzi na hobbyists wa Electronics. Unaweza kupata Microcontrollers, Programmer kits, LCDs, Motor drivers, nkNahitaji kufahamishwa duka lolote wanalouza arduino board Tanzania
Asante mkuu maana mimi nilikuwa naagiza kutoka kenya. Ila tupeane maujanja ya kutumia arduino. Hapa nilipo naelekea Iringa nimepokea mzigo kutoka kenya na mojawapo ya kifaa ni arduino mega 2560.Unaweza kuwasiliana na 0659-087426; duka linaitwa BAFREDO Electronics, lipo opposite na njiapanda ya barabara ya chuo kikuu cha Dar es Salaam, Sam-Nujoma Road, utaona bango la maandishi ya LED linawaka na maneno yana scroll. Pia kwenye hilo duka kuna vifaa vingine vingi vya Electronics vya kufanyia projects wanafunzi na hobbyists wa Electronics. Unaweza kupata Microcontrollers, Programmer kits, LCDs, Motor drivers, nk
Price ya Kenya ikoje? Arusha board zinaanzia 30+Asante mkuu maana mimi nilikuwa naagiza kutoka kenya. Ila tupeane maujanja ya kutumia arduino. Hapa nilipo naelekea Iringa nimepokea mzigo kutoka kenya na mojawapo ya kifaa ni arduino mega 2560.
agiza mwenyewe kutoka China mfano kama iyo arduino mega unaweza kupata kwa chini ya 10$ ila ndo awe mvumilivu kuisubiria mpaka ifikePrice ya Kenya ikoje? Arusha board zinaanzia 30+
Kenya nanunua Ksh1500 sawa na Tsh34500. Ila vitu vingi bei ndogo ukilinganisha na duka ambalo namba za simu zimetolewa katika uzi huu. Kwa hiyo nikipiga total cost including shipping inakuwa nafuu.Price ya Kenya ikoje? Arusha board zinaanzia 30+
Wana Raspberry Pi?Unaweza kuwasiliana na 0659-087426; duka linaitwa BAFREDO Electronics, lipo opposite na njiapanda ya barabara ya chuo kikuu cha Dar es Salaam, Sam-Nujoma Road, utaona bango la maandishi ya LED linawaka na maneno yana scroll. Pia kwenye hilo duka kuna vifaa vingine vingi vya Electronics vya kufanyia projects wanafunzi na hobbyists wa Electronics. Unaweza kupata Microcontrollers, Programmer kits, LCDs, Motor drivers, nk
nenda bafredo pale ubungo alipo suggest barakaJama inaonekana kuna watu wengi wanatumia Arduino kwenye kufanya projects mbalimbali. Tuambiane basi hii ndiyo forum yenyewe. Kwa mfano mimi nilikwama kwenye ishu ya relay. Nilikuwa nahitaji relay za 5V nataka niagize kutoka kenya pamoja na vitu vingine.
Ardunio UNO ni TZS 35,000 iwapo utanunua kuanzia 1 -- 5 pcs, na iwapo ni zaidi ya 5 pcs ni TZS 30,000. Hiyo ndo bei kwenye namba ya hapo juu, 0659-087 426 (BAFREDO Electronics Co. LTD).Kenya nanunua Ksh1500 sawa na Tsh34500. Ila vitu vingi bei ndogo ukilinganisha na duka ambalo namba za simu zimetolewa katika uzi huu. Kwa hiyo nikipiga total cost including shipping inakuwa nafuu.
Hizi relay and Arduino zote zinapatikana BAFREDO Electronics. Mfano, Arduino UNO ni TZS 35,000 iwapo utanunua kuanzia 1 -- 5 pcs, na 30,000/= kuanzia 6 pcs. Namba zao ni 0659-087426.Jama inaonekana kuna watu wengi wanatumia Arduino kwenye kufanya projects mbalimbali. Tuambiane basi hii ndiyo forum yenyewe. Kwa mfano mimi nilikwama kwenye ishu ya relay. Nilikuwa nahitaji relay za 5V nataka niagize kutoka kenya pamoja na vitu vingine.