Wapi naweza kununua USSD code ambayo itaendana na server yangu

johnhance

JF-Expert Member
Jul 9, 2016
1,769
2,108
habari wana JF moja kwa moja kwenye mada

wapi naweza nunua ussd code mfano: *154*34# ambayo ita link na server yangu

huduma za kibenki ni vinara kwa kutumia huduma hii katika mitandao ya simu

mwenye uelewa tafadhali naiitaji hii, pamoja na bei zake zipoje, utozaji wa jumla au kwa kommand moja, iwe shared au dedicated!

Nawasilisha
 
Nafikiri uwaone TCRA labda maana wao ndio wana regulate hii mitandao
 
Habari mkuu..ningependa unisaidie ABC za namna ya kupata hizo ussd na bei zikoje..

ukienda tcra , wanamaliza kila kitu, wanakupa dedicated ussd,

la unataka za shared , unafata izi kampuni zingine, kuna FastHub wako mbezi, ukisachi gugo nadhani web yao unaipata

quote yao ilikua around usd 750 one time set up fee, usd 650 monthly fee , running cost ni tsh 150/session kwa voda, 50 kwa mitandao mengine, ukiwacheki nadhani itakua poa zaidi
 
Back
Top Bottom