Duh, watu mmevurugwa na wagombea wa CHADEMA kukatwa kila mahali nini? Mbona mmekuwa wakali hivyo? Kwani ungesema tu ni "duka" ungepungukiwa nini? Najua mwamba naye amezingua lakini tumvumilie tu! Halafu jingine hapo juu limemjibu eti gereji bibi!ππ