Wapi nakosea?

Wapi nakosea?

Big up kaka umepitia maisha magumu mno bt nakushaur msaidie baba yako kwan utazid kupata baraka kwa Mungu.

Nashukuru mkuu! Mkuu natumia muda wng mwingi kujilazimisha kusahau yote yalionipata,, napata tabu sana kusahau! nilijaribu kumsimulia yf story nzima, kuna stage ilipofika akaniomba nisimsimulie tena, kasema inatosha!
 
Big up kaka umepitia maisha magumu mno bt nakushaur msaidie baba yako kwan utazid kupata baraka kwa Mungu.

Nsk nashukuru! Good advice! Ni kweli yalikuwa magumu sana - hayaelezeki! Nilijaribu kumsimulia yf wng, kuna stage ilipofika akaniomba nisimsimulie na hana hamu ya kuiskia popote!
 
Its very touchn...yan hadi machozi yamenitoka nikifikiria na kujiweka kwny viatu vyako naona umepitia mengi sanaaa ila Mungu mwema bado una maisha mazuri wakati ulistruggle sana kipindi unahitaji uangalizi..NAPENDA WATU WASIOKATA TAMAA KAMA WEWE,NAKUOMBEA MKEO AKUPENDE KULIKO CHOCHOTE..kama unamsaidia unapoweza sikulaumu bado unajitahidi sana kwani yeye ndo alisababisha upitie magumu...wewe ni SUPER MAN.

Nashukuru sana wangu! Umenitia moyo vya kutosha sana!
 
pole sana na hongera kwa kupambana na maisha. huna makosa wala usikubali lawama zikuendeshe, we kama unamhudumia kwa mpesa n.k ni kitu kikubwa sana hapo unakifanya, usijihukumu hata kidogo usiendeshwe cha muhimu ni kuwa haiwezekani kujilazimisha kuwa na mapenzi kwa baba kama hakukuwa na tatizo so hiyo stage uliyopo ya kumhudumia ni moyo wa ujsiri na wa kusamehe na utabarikiwa. move on with ur life mhudumie but wasijifanye w2 wanajua kukulaumu. ur not to be blamed. Unavuna ulichopanda
 
umevuka mabonde we mhudumie tuu anayajua makosa yake, epuka lawama zikuendeshe ishi maisha yako ili usihukumiwe kwa kuhukumu. ni upendo tosha kumudumia kama nafsi itasema umlete kwa matibabu zaidi fanya hivo. haiimaniishi kuwa ujilazimishe kumpenda kwa hali kama ingekuwa kawaida sema hiyo ni kutokana na hali ya masia yako
 
Ndugu inaonekana una uchungu ambao unatokana na kutokumsamehe huyo mshua wako...life liko hivii..usipomsamehe utaishia kufanya kile ambacho mzee wako amekifanya amini nakwambia...time will tell unaweza usione hili sasa hivi..ila kitu cha muhimu ambacho nimejifunza ni ukimsamehe mtu hakika utaanza kumpenda..jaribu kucheki hii movie ya eddie murphy 'a 1000 words' utajifunza kitu...
 
WALIMWEUSI nashukuru kwa ushauri wako, ni kweli sijaenda kumuona, nimekuwa nikiongea nae tu kwa simu, najipanga hapa ofisini soon ntaenda kumuona!
Pole sana sana.Inauma sana kwa sababu shida asilimia kubwa zinahusisha baba yako kutokutunza! Inauma hata nami nina mtu wangu wa karibu ( sitamtaja kuogopa identification) anahistoria inafanana nayako. Kubwa zaidi kupoteza watu wako wa karibu including mama , Mungu wangu inauma sana! Lakini jifunze (maana ngumu) kumsamehe baba yako. Ni binadamu alikosea, itakuwa amekwishakujuta! Na mbaya zaidi mtu wa kumwangukia hayupo duniani, Hizo shida anapata kwa makosaaliyopata, amininakwambiaukirudisha moyo na kumuhudumia , utapata faraja.Endapo usingekuwa na hisia yoyote wala usingemtumia hata voucher, wala usingebother kuleta uzi huu kwamaana nyingine Unconsciously unamjali.
Nadhani Mungu amemtumia ili nasi tujifunze nakujikumbusha, nadhani fundisho alilopata linatosha. Binadamu huwa tunajisahau na kudhani tutakuwa na nguvu daima, samahani, hasa upande wa me. Ujumbe nikuwa tusijisahau, kwanza kutunza watoto niwajibu lakini tukumbuke ya mbele jamani, bond ni muhimu sana kwa mtoto. Jipe muda kuponya maumivu yaliyo ndani ya moyo wako muda mrefu halafu muhudumie baba.
 
WALIMWEUSI nashukuru kwa ushauri wako, ni kweli sijaenda kumuona, nimekuwa nikiongea nae tu kwa simu, najipanga hapa ofisini soon ntaenda kumuona!
Pole sana sana.RIP mama. Inauma sana kwa sababu shida asilimia kubwa zinahusisha baba yako kutokutunza! Inauma hata nami nina mtu wangu wa karibu ( sitamtaja kuogopa identification) anahistoria inafanana nayako. Kubwa zaidi kupoteza watu wako wa karibu including mama , Mungu wangu inauma sana! Lakini jifunze (maana ngumu) kumsamehe baba yako. Ni binadamu alikosea, itakuwa amekwishakujuta! Na mbaya zaidi mtu wa kumwangukia hayupo duniani, Hizo shida anapata kwa makosaaliyopata, amininakwambiaukirudisha moyo na kumuhudumia , utapata faraja.Endapo usingekuwa na hisia yoyote wala usingemtumia hata voucher, wala usingebother kuleta uzi huu kwamaana nyingine Unconsciously unamjali.
Nadhani Mungu amemtumia ili nasi tujifunze nakujikumbusha, nadhani fundisho alilopata linatosha. Binadamu huwa tunajisahau na kudhani tutakuwa na nguvu daima, samahani, hasa upande wa me. Ujumbe nikuwa tusijisahau, kwanza kutunza watoto niwajibu lakini tukumbuke ya mbele jamani, bond ni muhimu sana kwa mtoto. Jipe muda kuponya maumivu yaliyo ndani ya moyo wako muda mrefu halafu muhudumie baba.
 
To understand someone is to forigive him or her, msamehe na msaidie sio kipesa tu hata emotional supports, inawezekana kama wewe inavyokuuma/ilivyokuuma ndiyo na yeye anapitia magumu hayo hayo, anajuta kwa nini hakuwasaidia nyie hadi akapoteza watu wake wa muhimu(inaweza ikawa wa muhimu kwa sasa).
Mkuu in conclusion ukimsaidia utakuwa unajisaidia kwa kimombo u have everything to gain kwa kumsaidia and nothing to loose.
Mwenyezi Mungu akuzidishie baraka
 
"saidia unapoweza Mungu atakubariki,,,,na usije ukateleza mkeo ukamsaliti"
kwanza hongera kwa kujitoa maana mwingine asingeweza kusaidia hata chembe lakini naomba nikushauri umchukue mzee wako awe chini ya uangalizi wako kuliko kutuma pesa za kumuuguza akiwa mbali i mean mchukue umpeleke hospital kubwa na ya jirani na pale ulipo. TRUST ME IN CASE MUNGU AKIMUITA AKIWA KATIKA MIKONO YAKO UTABAKIA NA BARAKA AMBAZO HAKUNA ATAEZIFUTA MAISHA YAKO YOTE.
 
Nashukuru, kwa ushauri!
 
Back
Top Bottom