Wapi nakosea?

Wapi nakosea?

Pole kaka I feel it too...I just passes a somewhat a similar kind of life 'single parent" and the worst thing is my daddy passed away one year ago hzo lawama za kutompenda baba nilizipokea sana tu and some even said umefurah ss babaako kafariki? Unampenda sana mamaako ww kuliko baba..hv utaachaje kumpenda mzazi alieangaika na ww kukusomesha etc? Karma has no menu wazaz wa hvyo wanalupiwa hapa hapa duniani...nilikua naumia nikimuona my step young sister anasomeshwa na nakutana nae mjin anawaka akat huki mama yetu anahangaika na ss (na my young bro) as if we dont have a daddy..anyway RIP dady nisiongee mengi ila jua kaka mwenye post I feel it and I know hw it is be strong do what u can usifatshe wanasema nn live ur own life..saidia unapoweza ukishindwa usijiforce..pole sana

Green apple, I salute you!
 
Pole sana wapo wengii mno wababa hivyo na Mungu huwapa joto la jiweee! !
 
kaka..mimi sikupi pole nakupa bigUP...hayo ndio maisha uliyoandikiwa uyapitie..kama kweli umemshika Mungu na maandiko yake matakatifu nakushauri nenda kamuone mzee wako ujue anaendeleaje...fahamu kila jambo lina kusudi maalum..

usimhukumu baba yako,haya maisha wamepitia wengi sana...nenda tafadhali!!

Mkuu Mchepuko nimekuelewa! Na najitahidi sana nisijiweke ktk nafasi ya kumhukumu mtu yeyote kuanzia yeyey wala jamaa zake!
 
Ennie umeingia ktk moyo wangu! Napata tabu sana ku-define huu msamiati "Mzazi"

Ni ngumu lakini ndio mzazi tu.
Msaidie kadri utakavyojaaliwa
Wapuuze hao wanaokulaumu kuwa hujitoi inavyopasa.
Wangekuwa washauri sana wangeanza na ndugu yao alipowatelekeza hapo kabla.
 
its so sad,,,umeniliza Mkuu Slim5 nami ndo napitia maisha haya niko chuo hapa DIT 1st year nasomea mambo ya Telecommunications nina miaka 19 naishi na bibi na dada zangu wawili wa tumbo moja simfahamu baba na wala sijawahi kumuona na mama alikwishafariki ila mpaka sasa ndani ya moyo wangu nimeshamsamehe baba yangu wakat mwingine si vyema kulipiza visasi ni vema ujitahid kusamehe na kusahau,,,,,,,,,When you forgive,you open the channels for trust and unconditional love.Forgive even if there is no apology from the wrongdoer....Forgiveness ensures peace of mind.......Clean your heart.

So sorry KAMWENDO! kwa kuwa umeshaikubali hali halisi, naamini utafika mbali, mbele zaidi! Maisha yanakutaka uangalie unapokwenda zaidi!
 
Hiyo kumtumia tu mpesa,tigo pesa etc umeonesha kujali sana,sema ppo do differ according to ur story mm nisingetaka ata kumtia machoni hakyamungu tena.
 
Ni ngumu lakini ndio mzazi tu.
Msaidie kadri utakavyojaaliwa
Wapuuze hao wanaokulaumu kuwa hujitoi inavyopasa.
Wangekuwa washauri sana wangeanza na ndugu yao alipowatelekeza hapo kabla.

Kweli Ennie! Tumeumbwa tofauti sana!
 
Hiyo kumtumia tu mpesa,tigo pesa etc umeonesha kujali sana,sema ppo do differ according to ur story mm nisingetaka ata kumtia machoni hakyamungu tena.

Anne nimekuelewa! Kuna wakati akili na moyo vinashindana, basi yakupasa kujiweka kati kati!
 
pole sana..ur the.hero u.came from zero to hero..msaidie kadri uwezavyo..baba ni mmoja tu duniani huwezjua nani alikua na kosa kati yake na mama..wewe mpende na mhudumie kadri uwezavyo..isimnyanyapae

Ameline nimekuelewa vzr sana, lkn angalizo ni kuwa hata kama baba na mama walitofautiana, na hata kama mama alimkosea, kwa kosa kubwa lolote liwalo, bado sisi hatukupaswa kuadhibiwa! [alichofanya baba hapa naamini ni punishment] na hapa ndio nataka wababa wenzangu tujifunze kitu! Ameline believe me, my late brother was so bright, lkn it pains mwisho wake ulikuwa vile nilivoona, najua kuna mahali baba alikosea, ni mungu tu, mm kusimama na kurudi ktk the right path!
 
Pole kwa yote kaka. Kusamehe ni wajibu wa muamini. Bahati mbaya sio mara zote utapata kuombwa msamaha na yule aliyekukosea ila unapata thawabu zaidi kama ukisamehe bila kuombwa na msamaha. Samehe maisha yaliyopita, samehe kifo cha mama, samehe kifo cha kaka yako na pia umsamehe baba yako na yote aliyofanya na ambayo hakuyafanya kipindi unakua. Yaani amini kuwa uliweza kupita yooote kwasababu Mungu alisimama nawewe na yote ilikuwa ni mipango yake.

So what happens now is totally up to you! Mungu amekupa pande zote mbili za maisha katika kipindi kifupi. Sasa una familia yako mpya inayokupenda na kukujali; unaamua kuishi maisha ya zamani (chuki kwa baba) au mapya ya upendo?
 
Mmh huruma hii jaman kwa kweli mungu ni mwema kila siku endelea kumuombea kwa mwenyez mungu aweze kupona lakin pia ni vizur ukaenda kumuona mmalize tofauti uishi kwa aman ya moyo.
jaman mzazi ni mzazi tu hakuna jinsi

Nakuelewa Manka, najaribu kushinda mvutano kati ya moyo na akili ya kawaida ya kibinadamu!
 
Pole kwa yote kaka. Kusamehe ni wajibu wa muamini. Bahati mbaya sio mara zote utapata kuombwa msamaha na yule aliyekukosea ila unapata thawabu zaidi kama ukisamehe bila kuombwa na msamaha. Samehe maisha yaliyopita, samehe kifo cha mama, samehe kifo cha kaka yako na pia umsamehe baba yako na yote aliyofanya na ambayo hakuyafanya kipindi unakua. Yaani amini kuwa uliweza kupita yooote kwasababu Mungu alisimama nawewe na yote ilikuwa ni mipango yake.

So what happens now is totally up to you! Mungu amekupa pande zote mbili za maisha katika kipindi kifupi. Sasa una familia yako mpya inayokupenda na kukujali; unaamua kuishi maisha ya zamani (chuki kwa baba) au mapya ya upendo?

Sina chuki nae, lkn pia sina mapenzi na yeye!
 
Unaitaji kuingia mbingun???basi samehe kama unavyosamehewa na MOLA....shukuru uemda.baba amgefanya yote hata iyo.post usingeipataa....panguzaa vumbi tazama mbele...icho ni kipimo.cha wokovu wako...iyo ndio dini saf ya kwend pepo..samehee daima na kusahau..Dear mama by tupac inakufaa...ila samehe
 
unajua sio kwamba baba kafanya iki au baba akuwepo..wanasema ivi UPENDO.USITIRI WINGI WA DHAMBI AU UOVU...SASA TUSITIRI UOVU WA BABA KWA UPENDO....UPENDO NDIO UTAFANYA MAMBO YARUDI NA.YAWE SAFI...KATK MAISHA YAKO YA FAMILIA YAKO KWA UJUMLA
 
Big up kaka umepitia maisha magumu mno bt nakushaur msaidie baba yako kwan utazid kupata baraka kwa Mungu.
 
Mkuu upo sahihi kabisa, nimekudondoshea like
^^
Unapokosea ni pale unapofikiri utaweza kupendeza kila jicho la mwanadamu.
Unapokosea ni pale unapojilaumu na kujihukumu moyoni kwa makosa ambayo si yako.
Mkono hujikuna unapoweza. Fanya unayoweza na hakika utafanikiwa. Kuna wakati tunatakiwa tusiumie sana pale watu wapatapo thawabu zao wangali duniani.
^^
 
Mungu akubariki sana my comrade! Ukielewa kuwa maisha ni HASI & CHANYA, ukajua duniani tu wapitaji basi unatakiwa ukubaliane na mitihan yte ya kitambo unayoktana nayo duniani!
Wema ndiyo kisasi bora dhidi ya maadui zko!
Kuwa ktk mstari salama WA Mungu bnadam wapuze pale wanapokushauri yalokinyume na mapenz ya Mungu!
ILA STORY YKO IMENIUMIZA SANA, NDIYO MAISHA TUSONGE MBELE KWA IMANI!
MUNGU AWE NAWE DAIMA KK!!!!

Chief MP nashukuru sana kwa nasaha zako! Sikuwahi kuisema hii kabla popote pale, lkn niliweka nia kuwa ipo siku nitaiweka jamvini ili iwe somo kwa wanajamii wengine, kuna aina ya makosa tunaweza kuyaepuka, dunia hii ni duara, na hakunaga mwisho mzuri kwa kila muendekeza anasa za dunia!
 
Back
Top Bottom