Wapi nakosea?

Wapi nakosea?

Me nilishashindwa na sitaweza. Aiseee una moyo
 
yeah, you do that.

He is your father my friend, even though he wasn't much of a Dad.

But one thing is for sure, you are gonna miss him when he is gone so do what you can now.

Mh! Mkuu hapo kwenye bold umenchanganya kidogo! Ni rahisi kuwa baba kuliko kuwa Mzazi!
 
Polee sanaa ndugu. Twapasa kusamehe ila tusisahau..
 
Nashukuru sana, nafanya mchakato wa ruhusa ofisini ya wiki 1 niende nikamuone!

Fanya hivyo ndugu....wewe mshukuru Mungu umepewa kujitambua mapema,yeye hakupewa huo upeo..pengine hata mama asingekufa mapema....we jifanye zuzu tu nenda fanya yako kisha urudi dsm..angekua mzima walaaa!!!

kua nae karibu wakat wa matatizo......wakati wa furaha yake yeye ndio awe wakwanza kukutafuta....

hutapungukiwa chochote.
 
its so sad,,,umeniliza Mkuu Slim5 nami ndo napitia maisha haya niko chuo hapa DIT 1st year nasomea mambo ya Telecommunications nina miaka 19 naishi na bibi na dada zangu wawili wa tumbo moja simfahamu baba na wala sijawahi kumuona na mama alikwishafariki ila mpaka sasa ndani ya moyo wangu nimeshamsamehe baba yangu wakat mwingine si vyema kulipiza visasi ni vema ujitahid kusamehe na kusahau,,,,,,,,,When you forgive,you open the channels for trust and unconditional love.Forgive even if there is no apology from the wrongdoer....Forgiveness ensures peace of mind.......Clean your heart.
 
Una busara sana!! Ila hiyo user name bandugu weeeee.
 
You are such an inspiration! So mature and strong!

Keep things that way and may God ease any hardships you may encounter in your life.

God Bless you
 
inasikitisha historia yako muhimu endelea kumpenda baba yako na kuwa karibu nae wanasema usilipize baya kwa baya wewe endelea kumtendea mema na fadhila utalipwa na mungu
na kina baba wadogo usiwasikilize toa msaaada pale uwezo wako unapoishia
 
Muombe Mungu aendelee kukupa ujasiri wa kusamehe(not easy to forget) naendelea kumsaidia kadri uwezavyo ili uushinde ubaya kwa wema.
 
its so sad,,,umeniliza Mkuu Slim5 nami ndo napitia maisha haya niko chuo hapa DIT 1st year nasomea mambo ya Telecommunications nina miaka 19 naishi na bibi na dada zangu wawili wa tumbo moja simfahamu baba na wala sijawahi kumuona na mama alikwishafariki ila mpaka sasa ndani ya moyo wangu nimeshamsamehe baba yangu wakat mwingine si vyema kulipiza visasi ni vema ujitahid kusamehe na kusahau,,,,,,,,,When you forgive,you open the channels for trust and unconditional love.Forgive even if there is no apology from the wrongdoer....Forgiveness ensures peace of mind.......Clean your heart.

Mkuu nashukuru sana! hapo ktk blue ni kama unanifahamu vile, hicho ndio kilichonipata!
 
Mungu akubariki sana my comrade! Ukielewa kuwa maisha ni HASI & CHANYA, ukajua duniani tu wapitaji basi unatakiwa ukubaliane na mitihan yte ya kitambo unayoktana nayo duniani!
Wema ndiyo kisasi bora dhidi ya maadui zko!
Kuwa ktk mstari salama WA Mungu bnadam wapuze pale wanapokushauri yalokinyume na mapenz ya Mungu!
ILA STORY YKO IMENIUMIZA SANA, NDIYO MAISHA TUSONGE MBELE KWA IMANI!
MUNGU AWE NAWE DAIMA KK!!!!
 
You are such an inspiration! So mature and strong!

Keep things that way and may God ease any hardships you may encounter in your life.

God Bless you

Thanks Karucee,sometimes the regular challenges make life more interesting.To give up and cry is not the way to handle situations that demand our intelligence....it is better to seek solutions instead of crying over the problems in life.nafikir kila mwanadamu anahitaji kupewa second chance ila nawish one day nami nitakutana na my lovely father.
 
Una roho mbaya. Hivi kama ukimsaidia tu utapata hasara gani . Kumbuka mabao yake yenye afya ndio yamekufanya uwe binadamu as ulivyo . Katika maisha yako umewahi kuwasamehe wangapi. Na wewe umewahi kusamehewa mara ngapi. anyway haya muache mzee wako aadhirike hadi afe na wewe jisifu na mafanikio yako
 
Mkuu nashukuru sana! hapo ktk blue ni kama unanifahamu vile, hicho ndio kilichonipata!

Pole sana Mkuu,jitahid kuchange your attitude about your father,,,,,,always be Optimistic...The second best thing God has given human beings is Optimism,the first is the ability to remain happy,,,,,May God bless you
 
Wee kama mimi.....!
maana kabla sijamaliza kusoma kichwa kilishaanza kuuma!
R.I.P mama! na hongera kwa kupata replacement ya mama (mkeo)

Yaah, the love mama showed me, the love my father ignored me, I pay it back to my kids and their mama.
 
Pole sana msamehe kama utaweza na usipoweza hapo ulipofikia pa kumuhudumia panatosha kabisa, haustahili lawama na wanaokulaumu hawajui machungu uliyopitia, mungu akupe nguvu uyashinde maneno ya hao ndugu zake na uendelee na maisha ya amani maana kama ni dhiki umeshapitia za kutosha
 
Its very touchn...yan hadi machozi yamenitoka nikifikiria na kujiweka kwny viatu vyako naona umepitia mengi sanaaa ila Mungu mwema bado una maisha mazuri wakati ulistruggle sana kipindi unahitaji uangalizi..NAPENDA WATU WASIOKATA TAMAA KAMA WEWE,NAKUOMBEA MKEO AKUPENDE KULIKO CHOCHOTE..kama unamsaidia unapoweza sikulaumu bado unajitahidi sana kwani yeye ndo alisababisha upitie magumu...wewe ni SUPER MAN.
 
Back
Top Bottom