Wapi na Kazi zipi diploma holder wa computer science anaweza kufanya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapi na Kazi zipi diploma holder wa computer science anaweza kufanya!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Chamalama, Dec 18, 2011.

 1. C

  Chamalama Senior Member

  #1
  Dec 18, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Naomba nifahamishwe
   
 2. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 1,749
  Trophy Points: 280
  1.kutengeneza websites
  2.kutengeneza program
  3.kufundisha chuo ila level ya certificate
  4.kutengeneza networks
  5.kutengeneza atm machine
  6.kurepair computer
  7.cyber security system

  kwa kifupi computer science ni kozi nzuli sana ukiwa na diploma unakula mshaala si chini ya millioni mbili
  ukiwa na degreee unakula mshahala si chini ya millioni nne na ukiwa na masters si chini ya millioni nane
  kama unataka kufahamu nenda njoo airtel makao makuu dar maeneo ya kinondoni nakukaribisha sana
   
 3. Nyaluhusa87

  Nyaluhusa87 JF-Expert Member

  #3
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,288
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  mkuu unasema kweli au unampa moyo 2 huyu jamaa kwa hizo hela unazosema za mshahara?
   
 4. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #4
  Dec 18, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Ahhahaha kwa mtazamo wangu wa sasa dip yako labda uwe una manage internrt cafe maana ushindani mkubwa sana sana sana....walio na degree na masters (plus certifications) ndio wanatamba kwenye soko la ajira!!kama unataka uuzike sawa sawa piga mcse,ccna(ccnp),oracle,security(ccsp) hapo sawa!!!
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye mshahara,ucmpe mwenzio bichwa aisee,hakuna kitu kama hcho hapa bongo.
   
 6. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #6
  Dec 18, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Mi mwenyewe nimeshangaa,bongo hii tuijuayo au?
   
Loading...