Wapi mmenionea Bishanga?

wewe jamaa ni balaa kwa uongo,mara ya mwisho si nimekukuta kituo cha polisi Mbezi kwa Yusufu wamekupeleka watu wa FINCA unadaiwa mil.5 afu hapa unajifanya kutaja minnesota.unakopa vihela vya watu afu unafanyia matanuzi?

Bishanga, jibu tuhuma! Nasikia unafungiwa (kufuli nje wewe ndani) ili creditors wako wasijue kuwa uko ndani!
 
I miss u Bishanga where are you you it is being a long time Bishanga where are you.

Unatutisha unajua The secretary,ina maana 6*6 ni kubwa kiasi kwamba hamuonani?Ndo maana mwana JF mmoja aliwahi kusema kuwa hivi vitanda 6*6 vinavunja ndoa, inatakiwa walau vitanda vya futi 2!! Bishanga alikuwa bize kuhakikisha ile 5% uzito kwenye malori na mabasi inaondolewa,si unajua ana malori 200 na mabasi 50!
 
Last edited by a moderator:

Aliaga anaenda nyarugusu sijamtia machoni
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom