Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,327
- 4,779
inamaanisha ulikojoa kitandani
Unauliza matundu chandaruani!
inamaanisha ulikojoa kitandani
Wanatoa mia mia bhana lol sijui hata kama zitafika buku
Unauliza matundu chandaruani!
darling jana nimeota tunanililiyu,asubuhi shuka chepechepe!
Wanatoa mia mia bhana lol sijui hata kama zitafika buku
Aliaga anaenda nyarugusu sijamtia machoni
alijiunga al shabaab ktambo,2ko nae hukuI miss u Bishanga where are you you it is being a long time Bishanga where are you.
Nangoja ugeuke
Mambo yako?
kwi kwi kwi kwi! Tena nasikia eti kafall in love kwa ann makinda! Imbombo!!!
I miss u Bishanga where are you you it is being a long time Bishanga where are you.
Suala la kugeuka kwangu tu , kwanza utaachama mdomo!
Kisha utapiga makofi !
Kisha utam-salute my Babaa , kwamba hakuniachia urisi wa mali , zaidi ya dubwana la kutendea kazi.