Wapi mmeanza kuisoma namba? Toa ushuhuda hapa

Wapi mmeanza kuisoma namba? Toa ushuhuda hapa

Hayo yote tisa, kumi vipi kuhusu zoezi la bomoa bomoa?

"Tunalipiza kisasi baada ya kuwapa kura nyingi ukawa wakati tumewafadhili tu katika maeneo ya wazi dar" mwisho wa kunukuu
 
Hata temeke na mwenge wameanza kuisoma namba Leo. Hiyo ni trella bado tunasubiri picha yenyewe
 
Pohamba,
Ahlil bayt ndio mpango mzima kkkkkk,mitume wote waliifanya Hii,kuanzia Mussa na haruni...
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
Mm nadhani tusiwalaumu sana wananchi maamuzi waliyafanya yakapokwa,hapa cha kulaumu ni ukimya wetu watanzania tunawekewa watu tusiowataka hata tukitumia democrasia.




mdau tatizo ni elimu ya kisiasa bado Tz yetu... mimi nilikua msimamizi wa uchaguzi maeneo ya igunga Tabora(vijijini) kati ya watu 10 waliokuja kupiga kura wanne takribani walikuwa hawajui kusoma wala kuandika na ni vijana siyo wazee... ktk siasa walioamka ni maeneo ya mijini tu, siyo vijijini nna mifano hai mtu wngu ktk uchaguzi wa mwaka huu...



believe me or not,,, ni kwa kiasi kidogo sana mtu kumpa kura mbunge na kumchagua raisi wa chama kingine kwa siasa ya kishabiki ya TZ.... kwa maana hiyo km wabunge walio wengi ni wa ccm bas hayo ndiyo yaliokua maamuzi ya wananchi wa kias kikubwa..
 
Naupenda sana,wimbo huo,wataisoma namba ccm mbele kwa mbele,swali je kati ya magufuli na ccm nani mbele kwa mbele?na wanao isoma namba ni wapinzani,wanaccm,watu wrote au vigogo?
 
Naupenda sana,wimbo huo,wataisoma namba ccm mbele kwa mbele,swali je kati ya magufuli na ccm nani mbele kwa mbele?na wanao isoma namba ni wapinzani,wanaccm,watu wrote au vigogo?
Hata mm naupenda sana huo wimbo
 
balaa, huku kwetu tumechagua mbunge wa ccm, hadi leo hatujamuona. Morogoro kusini
 
Hata wale Wachamungu wa Harambee Misikitini na Makanisani wameyeyuka
 
CHADEMA tuna hela wewe acha hizo..... Huwezi kuwa mpinzani kama hujiwezi.... Wenzenu wa nyinyiem huku mtaani hali ni mbaya sana..... Mimi wakiniomba msaada ninaowajuwa kuwa ni nyinyiem ,kakika huwa siwasaidiii kbs.... Nawaambia wakaombe kwa wenzao kwani hawawajui?
 
Hata wale Wachamungu wa Harambee Misikitini na Makanisani wameyeyuka
Pesa Zimeisha Mkuu. Mbowe Juzi Akiwa Bunda Akawa Anasema Magufuli Alegeze Kidogo, Jamaa Anaumia Balaa Lakini Anaogopa Kusema
 
Back
Top Bottom