Why...[emoji15] [emoji15]Something strange.
Hivi alikuaga na chura kama Miss Natafuta??[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Inawezekana kuna njemba ya JF imemweka ndani na kumpiga biti kuwa aachane na JF kama alivyofanyiwa Miss Natafuta!
🤣🤣🤣Hivi alikuaga na chura kama Miss Natafuta??[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mbona tunaona maandishi sasa [emoji23]Hapa nimewaza, then nika andika alafu nikafuta. Nikaandika tena alafu nikaamua kufuta, ndipo nikaona nikae kimya tu..[emoji30][emoji30]