Yupo mkuu huoni lile zoezi la kuteka bibi sema tu ndio limeshindikana mara zote mbili, sasahivi anafanya kimiujizaWaziri wangu kumbe aliwaonea Madaktari tu ebo! ngoma kaiona nzito hivi sasa kwa mambo yanayoendelea nchini na kafyata. Kumbe ni mwoga bana! I belive Lowasa hakudanganya alivyowapasha Fanyeni maamuzi ni bora kufanya maamuzi kuliko kutokufanya maamuzi...
Like!😎!Kwani nchi hii kuna waziri mkuu?
...Fanyeni maamuzi ni bora kufanya maamuzi kuliko kutokufanya maamuzi...
Nasikia eti kamati ya "ufundi" ya waziri mkuu inajitayarisha kupeleka Mtwara wataalamu wa kutengeneza radi ikasambaratishe wale wote wanaojiweka kimbelembele.Yupo mkuu huoni lile zoezi la kuteka bibi sema tu ndio limeshindikana mara zote mbili, sasahivi anafanya kimiujiza
Waziri wangu kumbe aliwaonea Madaktari tu ebo! ngoma kaiona nzito hivi sasa kwa mambo yanayoendelea nchini na kafyata. Kumbe ni mwoga bana! I belive Lowasa hakudanganya alivyowapasha Fanyeni maamuzi ni bora kufanya maamuzi kuliko kutokufanya maamuzi...
Yupo mkuu huoni lile zoezi la kuteka bibi sema tu ndio limeshindikana mara zote mbili, sasahivi anafanya kimiujiza