WAPI Mh. PINDA mtoto wa mkulima?

WAPI Mh. PINDA mtoto wa mkulima?

msimsumbue mzee wawatu yeye anasubiri siku ya kustaafu ili akafuge nyuki. Teh teh teh!
 
kauza jembe, panga na sasa ameamua kula mbegu kimya kimya
 
yupo kwenye skype anaongea na davos, sasa ameona lile tukio la katibu mkuu wa Nishati lilimuogofya saana, hivyo anasubiri mwenye maamuzi aje, zaidi ya hapo katiba hailezei vizuri Raisi akisafiri who is who btn pm na vp
 
PINDA.4.jpg

Pinda alionekana mitaa ya Sumbawanga vijijini akimfundisha Bilali kunywa pombe ya kienyeji ya wafipa.
 
Back
Top Bottom