wapi members wa marafiki.com

h120

JF-Expert Member
Jan 10, 2012
2,532
3,316
Moja ya site zilizobamba kipindi ile ni visit leo hamna member hata mmoja online kipindi ile raia walikuwa kibao ..ndo kusema pipo zimehama au?????
 
marafiki.com jina jingine ilkuwa inaitwa darchat.com, sijui wamiliki wake walikuwa nani, eti wameshindwa kulipia domain! mweyewe nilkuwa member mzuri sana wa darchat.com kipindi ile
 
Back
Top Bottom