...niwalambe nisiwalambeeeeeee....
acheni ushamba....washamba nyie....(nimenukuu)
kuna mtu najaribu kumsaka humu Jf...tusaidiane...kauli zake kama zinaendana na huyu...kama anajijua ajitokeze...tuache ku-lusinde wajameni...maana kuna watu kwa kurusha malusinde...duh!