Wapi Lizzy...???

Lizzy ...Lizzy...Lizzy...Lizzy...absence yako wengine inatutia mawenge...kula hatuli....kulala hatulali.....acha kutesa wana wa wenzio, lol!
 
Habari kutoka vyanzo vya kuaminika ni kuwa Lizzy kajiBANisha kwa Rev muda wote huu wa Kwaresma.
 
Hahahah...nyie watu hamjatulia kabisa!! Missed y'all much!!

Njooni kijijini basi tusaidiane kulima...?!
 
Hahahah...nyie watu hamjatulia kabisa!! Missed y'all much!!

Njooni kijijini basi tusaidiane kulima...?!

Hatimaye ganzi imetoka kwenye jino nimeweza kutabasamu. Lizzy kutususa hivyo ndio nini?
 
Hahahah...nyie watu hamjatulia kabisa!! Missed y'all much!!

Njooni kijijini basi tusaidiane kulima...?!

Huyooooooooooooooooooooo welcome back,welcome back welcome baaaaack,Ayo Lizzy how you doin'? You good?

www.azlyrics.com/lyrics/mae/welcomeback.html
 
Back
Top Bottom